iqna

IQNA

ukweli katika qurani
Ukweli katika Qur'ani Tukufu /12
TEHRAN (IQNA) – Watafiti wa Australia wamethibitisha kwamba maji matamu yanaweza kupenya matabaka yaliyo katika kina cha na kubaki humo kwa zaidi ya miaka 20,000. Qur’ani Tukufu katika mojawapo ya aya zake imetaja jambo hili la kustaajabisha.
Habari ID: 3476664    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/06

Ukweli katika Qur'ani Tukufu / 10
TEHRAN (IQNA) - Kuna masuala mengi yanayohusiana na sayansi yaliyotajwa ndani ya Qur'an Tukufu ambayo yanachukuliwa kuwa muujiza wa Kitabu Kitukufu kwa sababu yalikuwa hayajulikani kwa wanadamu kwa muda mrefu na wanasayansi waliyagundua karne nyingi baadaye.
Habari ID: 3476318    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

Ukweli katika Qur'ani Tukufu / 9
TEHRAN (IQNA) – Hussein Fadhil al-Hulw, mwanazuoni wa Kiarabu, katika makala ameorodhesha maudhui ya baadhi ya aya za Quran kuhusu ukuaji wa mimea yamethibitishwa na sayansi ya kisasa.
Habari ID: 3476226    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/10

Ukweli katika Qur'ani Tukufu / 7
TEHRAN (IQNA)- Maisha ya watu yamejaa changamoto na magumu yasiyotarajiwa. Kila mtu, kwa kuzingatia hali na hadhi yake, hukabiliana na matatizo au masaibu mbalimbali ya kibinafsi, ya kifamilia na kijamii lakini si watu wote wanaoyavumilia na kuyastahimili vivyo hivyo.
Habari ID: 3476167    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/29

Ukweli katika Qur'ani Tukufu / 6
TEHRAN (IQNA)-Katika kipindi cha karne mbili zilizopita, mwanadamu amezingatia zaidi mtazamo wa kitaalamu wa maisha ya wanyama, hasa wadudu.
Habari ID: 3476134    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/23

Ukweli Katika Qur'ani / 5
TEHRAN (IQNA) – Ikiwa dini inazingatiwa kama mpango na mtindo wa maisha, ni wazi kwamba muumini anaishi maisha yaliyojaa malengo mema, matumaini na furaha. Mtu kama huyo hatawahi kupata sababu ya kufikiria kujiua.
Habari ID: 3476128    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/22

Ukweli Katika Qur’ani /4
TEHRAN (IQNA) – Kulingana na takwimu za Shiŕika la Afya Duniani (WHO), takribani watu 800,000 hufa kwa kujiua kila mwaka. Hali kadhalika watu takribani milioni 16 hufikiria kujiua.
Habari ID: 3476119    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20

Ukweli Katika Qur’ani Tukufu /3
TEHRAN (IQNA) – Tafiti za kisayansi zinathibitisha kwamba wasiomuamini Mwenyezi Mungu ndio watu walio hatarini zaidi na ndio wanaokata tamaa maishani na hivyo kiwango cha kujiua miongoni mwao ni kikubwa sana.
Habari ID: 3476088    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/14

Ukweli Katika Qur’ani Tukufu /1
TEHRAN (IQNA) – Kuna aya mbili ndani ya Qur’ani Tukufu zinazozungumzia mimba na zinaonyesha vipengele vya miujiza ya Qur’ani.
Habari ID: 3476087    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/14